Thursday, April 23, 2015

Moja ya jezi iliyopendekezwa

 Na Bertha Lumala, Dar es Salaam 
'Mwaka jana TFF ilitangaza tenda ya wabunifu wa jezi mya za Taifa Stars ikiahidi kutoa Sh. milioni kwa mshindi.'

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limesema jezi mpya ya timu ya taifa (Taifa Stars) imepatikana baada ya kuendesha mchakato wa kuipata kutoka kwa wabunifu wa mavazi.
Moja ya jezi iliyopendekezwa
 
Mwaka jana TFF ilitangaza zabuni ya kusaka jezi mpya wa Taifa Stars na kuahidi kutoa Sh. milioni moja kwa mbunifu ambaye angetoa jezi nzuri zaidi.

Katibu mkuu wa TFF, Celestine Mwesigwa, ameuambia mtandao huu leo asubuhi kuwa jezi mpya tayari imeshapatikana na mudea wowote itawekwa wazi kwa umma.

Amesema shirikisho linaandaa jezi kwa ajili ya kuuza kqwa mashabiki, ikiwa ni mara ya kwanza kwa mamlaka hiyo ya soka nchini kufanya hivyo.

"Kila kitu kimekamilika, mtaona muda si mrefu tutaiweka wazi na kuuuza jezi kwa mashabiki," amesema Mwesigwa.

Jezi pendekezwa

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video