Saturday, April 25, 2015

Cesc Fabregas amekua ni mchezaji anayezungumziwa sana kuelekea kwenye mechi ya Chelsea Vs Arsenal Jumapili hii. Sababu kubwa inayofanya azungumziwe sana ni suala la kucheza kwenye uwanja wa Emirates kwa mara kwanza tangu aondoke kwenye timu ya Arsenal.
Ukiangalia historia utakuta majina mengi ya wachezaji ambao wamewahi kuhama kati ya hizi timu mbili na kucheza dhidi ya timu yake ya zamani. Hii hapa ni orodha ya wachezaji 10 ambao kwa nyakati tofauti waliwahi kucheza Arsenal na Chelsea.
Yossi Benayoun alicheza Chelsea 2010-2011 na akaenda Arsenal kwa mkopo kati ya 2011-2012.
Lassana Diarra alicheza Chelsea 2005-2007 na Arsenal 2007-2008
William Gallas alicheza Chelsea 2001-2006 na Arsenal 2006-2010
Ashley Cole alicheza Arsenal 1999-2006 na Chelsea 2006-2014
Nicolas Anelka aicheza Arsenal 1997-1999 na Chelsea mwaka 2008-2012
Emmanuel Petit alicheza Arsenal 1997-2000 na Chelsea 2001-2004
Peter Nicholas alicheza Arsenal 1981-1983 na Chelsea 1988-1891
Clive Allen alicheza Arsenal 1980 na Chelsea 1991-1992
Cesc Fabregas alicheza Arsenal mwaka 2003-2011 na Chelsea 2014 hadi leo.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video