Saturday, April 25, 2015

 
 Na Mwandishi Wetu
BONDIA Vicent Mbilinyi 'Sugu' ameingia kambini kwa ajili ya mpambano wake mwingine utakaofanyika mei 30 katika ukumbi wa P.T.A Sabasaba ambapo atakabiliana na Keis Amal kutoka Mzazi GYM.
Bondia huyo anayenolewa na Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' ameingia kambini jana kwa ajili ya mpambano uho wa raundi sita ambapo siku hiyo mpambano mkubwa utakuwa ni kati ya bondia Fransic Cheka na Kiatchai Singwancha . kutoka Thailand, mpambano utakaokuwa wa raundi kumi.
Promota wa mpambano uho Kaike Siraju aliongeza kwa kusema kuwa siku hiyo pia kutakuwa na mapambano mbalimbali ya utangulizi ya kuvutia ambayo yatatajwa wakati ukifika.
Hata hivyo amendelea kumkumbusha Cheka kuwa afanye mazoezi ya kutosha na akumbuke bondia anayekuja kucheza naye ni zaidi ya aliokutana nao awali.
Katika mpambano huo siku hiyo kutakuwa na uuzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi kali pamoja na kutambua sheria zake zikiwa na mabondia wakali kama vile
Floyd Mayweathar,Manny Paquaio, Saul 'canelo' alverez ,Mike Tyson,Mohamed Ali,Ferex Trinidad,Miguel Cotto na wengine wengi
pia kuta kuwa na vifaa vya mchezo vitakaokuwa vikitolewa na Rajabu Mhamila 'Super D' kwa mabondia watakaofanya vizuri siku hiyo na vingine kuuzwa kwa pesa taslimu na kocha huyo kwa ajili ya kuamasisha .

Bondia Vicent Mbilinyi 'Sugu' kushoto akipambana na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa mazoezi ya Mbilinyi kujiandaa kupambana na Keis Amal mpambano utakaofanyika mei 30 katika ukumbi wa P.T.A sabasaba Dar es salaam.Super D Boxing Coach

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video