Tuesday, April 28, 2015

CAMP Nou ni sehemu ya machinjio! hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya Barcelona kuichapa Getafe magoli 6-0 katika mechi ya ligi kuu Hispania, La Liga iliyomalizika usiku huu.
Mapema dakika ya 9' Lionel Messi aliandika goli la kuongoza kwa mkwaju wa penalti na katika dakika ya 25' Luis Suarez alipiga bao la pili.
Dakika ya 28' Neymar Jr akapiga goli la tatu na chuma cha nne kimetiwa kambani na Xaiv Hernandez.
Suarez alitikisa tena nyavu dakika ya 40' akifunga goli la tano na Messi akamaliza shughuli dakika ya 47' akifunga goli la sita.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video