Tuesday, April 28, 2015

Wakongwe wa soka la Italia timu ya AC Milan, wamezidi kutoa baadhi ya taarifa kuhusiana na uwanja wao mpya ambao kwa mujibu wa taarifa za ndani kutoka klabuni hapo zinadai kuwa utakuwa ndiyo miongoni mwa viwanja vyenye ubunifu wa hali ya huu zaidi kuwahi kutokea duniani.
Milan wamesema kuwa kabla ya kuanza ujenzi wa uwanja huo walifanyia uchunguzi wa takribani viwanja 70 ulimwenguni na ndipo walipoibuka na ramani yenye ubunifu wa hali ya juu kabisa.
Uwanja huo unakadiriwa kuwa utakuwa unaingiza idadi ya watu 48,000.
Milan wamesema kuwa uwanja huo hautakuwa na athari yoyote katika jiji la Milan, ukiwa na urefu wa mita 30, nusu ya ule wa uwanja wa San Siro na urefu kwenda chini ni mita 10.
Huu ndiyo muonekana wa namna uwanja wa AC Milan itakavyokuwa.

Utakuwa ukibeba idadi ya takribani watu 48,000.
Hata hivyo wameongeza kuwa uwanja huo utakuwa na vyombo vya kisasa kabisa vya kutolea sauti ambavyo vitakuwa vikitoa sauti ya wastani na kupunguza athari ya za makelele jijini Milan.


0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video