Friday, March 20, 2015


Theo Walcott anahitaji kuongezewa mshahara wake kama Arsenal wanataka asaini mkataba mpya.
Mazungumzo juu ya mkataba mpya yameanza na mshambulaiji huyo anayemalizia mwaka wa mwisho katika mktaba wake.
Walcott kwasasa anapokea mshahara wa paundi elfu 90-lakini atadai kulipwa paundi laki moja kabla ya kukubali kuongeza mkataba.
Kilichobaki ni kuona kama Arsenal watamudu mshahara huo na inategemeana na kuhitajika kwake katika kikosi cha Arsene Wenger.
Manchester City na Liverpool zipo makini kufuatilia suala hilo kwani zinamuhitaji kwa nguvu zote.



0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video