''Timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania, Twiga stars, leo hii imeendelea kujinoa katika uwanja wa karume kabla ya kuwakabili zambia hapo dar es salaam picha Ikiwaonesha wadada hao wakijituma hapo'' .
kimsingi wamesema wana matumaini makubwa ya kuwatupa nje shepolopolo na kuelekea brazaville mwezi september all africa games''
Kwa hisani ya Madau Steve Abdull
0 comments:
Post a Comment