|
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D akifuatilia kwa makini mafunzo ya uandishi wa habari za michezo zilizoandaliwa na chama cha waandishi wa habari za michezo TASWA zilizofanyika Dar es salaam jana na kudhaminiwa na Times Radio na Valentino Royal Hotel |
|
Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT), Bw. Dioniz Malinzi, akimkabizi cheti Rajabu Mhamila baada ya mafunzo ya uhandishi wa habari kulia ni mwenyekiti wa TASWA Juma Pinto na Katibu Mkuu wa Mchezo wa Riadha nchini Suleiman Nyambu ... (RT) |
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akibadilishana mawazo na mwalimu wake wa habari za michezo Salim Said Salim wakati wa mapumziko mafupi ya mafunzo hayo yaliyoratibiwa na Taswa jana
|
Baadhi ya waandishi wa habari za michezo wakifatilia mafunzo hayo |
Waandishi wa habari wakipiga msosi wa mchana
Kocha wa Kimataifa wa mchezio wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila akisalimiana na Katibu Mkuu wa Mchezo wa Riadha nchini Suleiman Nyambu ... (RT) na Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT), Bw. Dioniz Malinzi,
|
Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT), Bw. Dioniz Malinzi, akimkabizi cheti Rajabu Mhamila baada ya mafunzo ya uhandishi wa habari kulia ni mwenyekiti wa TASWA Juma Pinto na Katibu Mkuu wa Mchezo wa Riadha nchini Suleiman Nyambu ... (RT) |
|
Rajabu Mhamila 'Super D akifuatilia kwa m,akini mafunzo ya uandishi wa habari za michezo zilizoandaliwa na chama cha waandishi wa habari za michezo TASWA zilizofanyika Dar es salaam jana na kudhaminiwa na Times Radio na Valentino Royal Hotel |
0 comments:
Post a Comment