Timu ya Taifa ya
Tanzania (Taifa Stars) itashuka dimbani jumapili Machi 29 mwaka huu, kucheza
mchezo wa kirafiki na timu ya Taifa ya Malawi (The Flames) katika Uwanja wa CCM
Kirumba jijini Mwanza
Mchezo huo wa
kirafiki ambao upo katika kalenda ya FIFA kwa timu za Taifa (Machi 23-31) na
utatarajiwa kuanza majira ya saa 10 na nusu jioni kwa saa za Afrika Mashariki.
0 comments:
Post a Comment