Tuesday, March 31, 2015

 
Na Bertha Lumala, Dar es Salaam
Simba SC na Yanga SC zinaongoza nchini kwa kuwa na mashabiki lukuki, lakini zimekuwa haziambulii chochote kutokana na mauzo ya jezi na vifaa vingine vyenye nembo zake zinazouzwa na wajanja wachache wakiwamo viongozi wa klabu hizo.

Uongozi wa klabu ya Simba umesema kesho utaingia mkataba mnono na moja ya kampuni kubwa kuuza jezi na vifaa vingine vyenye nembo yake.

Msemaji wa Simba SC, Hajji Manara, ameuambia mtandao huu jijini hapa muda mfupi uliopitya kwamba kesho saa nne asubuhi wataingia mkataba na kampuni hiyo kwenye Hoteli ya JB Delmonte jijini hapa kwa ajili ya ubia huo.

Manara amesema kila kitu kitaanikwa kesho, lakini amesisitiza mkataba huo ni wa mabilioni.

Simba SC na Yanga SC zinaongoza nchini kwa kuwa na mashabiki lukuki, lakini zimekuwa haziambulii chochote kutokana na mauzo ya jezi na vifaa vingine vyenye nembo zake zinazouzwa na wajanja wachache wakiwamo viongozi wa klabu hizo

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video