Wednesday, March 11, 2015




Timu za Polisi Moro na Ruvu Shooting zimetoshana nguvu kwa kutoka suluhu katika mechi pekee ya jana ya Ligi Kuu Tanzania Bara iliyochezwa Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.

Kwa matokeo hayo, Polisi Moro FC inayonolewa na Adolf Richard ilikuwa imepoteza mechi tatu mfululizo dhidi ya Simba SC Kagera Sugar FC na Mtibwa Sugar FCl, imeendelwea kubaki nafasi ya 12 ikifikisha pointi 20 sawa na Mgambo Shooting Stars na JKT Ruvu Stars zilizopo nafasi za 10 na 11.

Ruvu Shooting Stars inayonolewa na Mkenya Tom Alex Olaba kwa nafasi moja kutoka nafasi ya tisa hadi ya nane ikifikisha pointi 22, moja mbele ya Stand United FC waliokuwa katika nafasi hiyo (8).

Ligi hiyo itaendelea mwishoni mwa wiki baada ya mechi za kesho za JKT Ruvu Stars dhidi ya Yanga SC na Mgambo Shooting Stars dhidi ya Azam FC kuahirishwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video