Friday, March 20, 2015


Manuel Pellegrini bado anaweza kuendelea kuifundisha Manchester City kutokana na kukosekana kwa mtu sahihi anayeweza kurithi mikoba yake majira ya kiangazi mwaka huu.
Swali kubwa linaloulizwa kwasasa kuhusu Pellegrini baada ya kufungwa tena na Barcelona katika michuano ya ligi ya mabingwa ni kama atafukuzwa ama la! na tayari kikosi chake kimeonesha udhaifu mkubwa safu ya ulinzi wakati huu anahitaji kutetea ubingwa wake.
Licha ya kuwepo kwa mjadala mzito Etihad kuhusu kusuasua kwa City msimu huu, inafahamika kuwa hakuna mpango wa kumfukuza kazi mwishoni mwa msimu huu.
Hata hivyo nafasi ya Pellegrini itakuwa hatarini kama timu yake itamaliza nje ya nne bora katika msimamo wa ligi kuu.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video