Klabu ya Napoli fc na Intermilan zimeonyesha nia ya kumsajili kiungo wa klabu ya Liverpool Lucas Leiva katika majira wa msimu wa joto, baada ya kiungo huyo kutopata nafasi katika kikosi cha kwanza cha Brendan Rodgers.
Licha ya klabu hizo mbili kumuwania Lucas Leiva lakini pia zinamuwinda golikipa wa klabu ya Bayern Munich Pepe Reina ambaye nae hana nafasi katika kikosi cha kwanza cha the bavarians katika dimba la allianz arena chini ya kocha Pep Guardiola.
0 comments:
Post a Comment