Sunday, March 1, 2015

WAGONGA nyundo wa Mbeya, Mbeya City fc jana walihitimisha dakika 90 za mchezo wa ligi kuu ya soka Tanzania bara kwa sare ya 1-1 dhidi ya  Ruvu Shooting ya Pwani katika mechi ya ligi iliyopigwa uwanja wa Sokoine, Mbeya.
Shootings walikuwa ya kwanza kuandika bao katika dakika ya 10 ya mchezo lililofungwa na Yahya Tumbo kufuatia mabeki wa City kuzubaa na kushindwa kuundoa mpira uliokuwa umepigwa kutoka wingi ya kushoto, hadi mapumzio Ruvu ilikuwa mbele kwa bao hilo moja.
City ilikianza kipindi cha pili kwa nguvu huku ikicheza mpira wa kasi na pasi za uhakika ilifanikiwa kusawazisha bao kupitia Themi Felix 'Mnyama' katika dakika ya 70  baada ya kuuwahi mpira mrefu ulipigwa na Hamad Kibopile kutoka upande wa kushoto mwa uwanja.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video