Arsene Wenger akizungumza na kiungo wake mshambuliaji Santi Cazorla (katikati ) na Tomas Rosicky (kushoto) katika mazoezi ya klabu hiyo uwanja wa Colney, London
MAPEMA saa 9:00 alasiri leo uwanja wa Anfield dunia itashuhudia mechi kali ya ligi kuu England baina ya makamu bingwa wa msimu uliopita, Liverpool dhidi ya Mabingwa watetezi Manchesterb City.
Mechi hii ya ligi kuu England imekuwa gumzo na upinzani mkali unatarajiwa kutokana na ukweli kwamba Anfield ni mahala pa Liverpool.
Mechi nyingine ya ya EPL leo ni baina ya Arsenal dhidi ya Everton.
Arsenal wakitokea katika kipigo cha 3-1 dhidi ya Monaco ya Ufaransa ligi ya mabingwa ulaya, bila shaka wanahitaji ushindi ili kuwapoza mashabiki wao.
Jana EPL iliendelea na matokeo ya mechi zote haya haa;
February 28
FT
FT
FT
FT
FT
FT
0 comments:
Post a Comment