MPENZI wa David de Gea amekanusha madai kuwa Manchester sio pazuri, akisisitiza kuwa maneno hayo yamewekwa mdomoni mwake na waandishi wa habari.
Tetesi kuwa za De Gea kuondoka Manchester United zilianza kuzagaa mapema mwezi huu wakati Garcia alisemekana kudai hafurahishwi ni mji huo.
"Sidhani kama wanatafuta kweli habari au wanaandika kuleta utata tu, nilishangaa sana nilipoona sentensi hii eti nikisema "Sio pazuri kabisa, kiukweli".
0 comments:
Post a Comment