Sunday, March 1, 2015


HAYA ndio maneno aliyoandika msemaji wa Ruvu Shootiings ya Pwani, Masau Bwire.
Shootings jana ililazimisha sare ya 1-1 uwanja wa Sokoine dhidi ya Mbeya City fc.

Tumevuna pointi moja dhidi ya Mbeya City, usanii manyoo umetuumiza sana, tuliwazidi kila idara lakini ndo hivyo,
wameutumia unyumbani vizuri!
Tumeanza safari kurejea nyumbani. Maombi na dua zenu njema ni muhimu sana kutuwezesha tufike salama.

Nawapongeza Simba kwa ushindi wa kishindo jana. Nawasifu sana Yanga kwa kufuzu hatua nyingine mashindano ya
Shirikisho.
Nawatia moyo Azam, wasikate tamaa, waongeze bidii siku zijazo watafanya vema kwani uwezo wanao.

Pongezi kwa Yanga zinatokana na kufanikiwa kuwatoka BDF XI kwa wastani wa mabao 3-2 na kufuzu raundi ya kwanza ya kombe la Shirikisho.
Kwa upande wa Simba ni ushindi mnono waliovuna wa mabao 5-0 dhidi ya Prisons jana uwanja wa Taifa, ligi kuu Tanzania bara.
Pole kwa Azam fc ni kutolewa kwa wastani wa mabao 3-2 ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya Al Merrikh ya Sudan.
Azam jana usiku mjini Khartoum walichezea kichapo cha 3-0.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video