"Nilitazama mchezo wao jumamosi, " Amesema Jose Murinho. "Nadhani mazoezi yetu ya jumamosi yalikuwa magumu zaidi kuliko mechi yao. Jumapili wachezaji wangu walipumzika kutokana na mazoezi magumu jumamosi. Nadhani jumapili wachezaji wao hawakupumzika baada ya mechi na Lens. Robo fainali ya UEFA bila timu ya England ni jambo gumu, tuko tayari kuwatoa".
VIKOSI VINAVYOTARAJIWA LEO
0 comments:
Post a Comment