Saturday, March 21, 2015


Kocha wa timu ya taifa ya Brazil Carlos Dunga amemuita beki wa Arsenal Gabriel Paulista katika kikosi chake kitakachocheza mechi ya kirafiki dhidi ya Ufaransa na Chile mwishoni mwa mwezi huu.
Paulista amepata nafasi hiyo kwa mara ya kwanza baada ya Dunga kufanya mabadiliko ya wachezaji watatu katika kikosi chake kufuatia kuumia kwa mabeki watatu, David Luiz,Diego Tardeli na Marquinhos.
Beki huyo wa kati aliyesajiliwa mwezi januari  mwaka huu akitokea Villarreal ameshaichezea klabu ya Arsenal Mechi nne mpaka sasa.
Luiz alipata maumivu ya nyuma mguu katika mechi ya wiki iliyopita waliyofungwa na Bordeaux huku Marquinhos akisumbuliwa na matatizo ya kubwana na misuli.
Kikosi hicho cha Brazil kitakutana siku ya jumatatu au jumanne mjini Paris tayari kwa maandalizi ya mechi ya alhamisi dhidi ya Ufaransa katika dimba la Parc des Princes

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video