DI MARIA AWAPIGA BAO MCHANA KWEUPE COSTA, SANCHEZ Pamoja na kuwa na wakati mgumu uwanjani - Angel Di Maria ametajwa kuwa ndio mchezaji ambaye jezi yake ndio inaongoza kwa kuuzika nchini Uingereza huku akiwa amewaacha kwa mabli wachezaji wengine. Costa na Sanchez wamfuatia.
0 comments:
Post a Comment