Andrey Coutinho leo ameanza rasmi mazoezi pamoja na kikosi cha Yanga kujiandaa na mchezo wa marudiano dhidi ya FC PLATNUM.
Mchezaji huyo aliyekuwa nje kwa takribani wiki 5 ameonesha kuimarika kwa afya yake na kupewa ruhusa na daktari wa timu hiyo Juma Sufiani.
0 comments:
Post a Comment