Olivier Giroud akiifungia Arsenal bao la kwanza jana dhidi ya Queens Park Rangers katika dimba la Loftus Road
Giroud akimbeba mchezaji mwenzake wa Arsenal, Tomas Rosicky walipokuwa wakishangilia goli
Alexis Sanchez akikatisha kutoka kulia na kufunga goli kwenye kona iliyobana
Sanchez akiamusha shangwe baada ya kutia kitu kambani katika uwanja wa Loftus Road
0 comments:
Post a Comment