Wednesday, March 11, 2015


Real Madrid wamefuzu hatua ya robo fainali ligi ya mabingwa barani ulaya kwa wastani wa mabao 5-4 kufuatia jana kuchapwa 4-3 na Schalke 04 ya Ujerumani katika mechi ya marudiano ya hatua ya 16.
Mechi ya kwanza Real Madrid walishinda magoli 2-0 Santiago Bernabeu.
Ronaldo scored twice to surpass Lionel Messi as the top scorer in European competitions
Nayo FC Porto ya Ureno imetinga hatua hiyo wka tofauti ya magoli 5-1 baada ya jana kuiadhibu Basel mabao 4-0 katika mechi ya marudiano.
Mechi ya kwanza nchini Uswizi timu hizo zilitoka sare ya 1-1.
Mechi nyingine mbili za marudiano hatua ya 16 zinapigwa leo ambapo mabingwa wa Ujerumani, FC Bayern Munich wanachuana na Shakhtar ya Ukraine katika uwanja wa nyumbani wa Allianz Arena. Mechi ya kwanza timu hizo zilitoka suluhu.
Bayern wanapewa nafasi kubwa ya kusonga mbele kwani wanahitaji ushindi wa goli 1-0 kusonga mbele.
Mechi nyingine inawakutanisha Chelsea dhidi ya PSG katika dimba la Stamford Bridge, mjini London.
Mechi ya kwanza wanaume hawa walitoshana nguvu kwa kutoka sare ya 1-1.
Chelsea wanahitaji suluhu (0-0) au ushindi wowote ule ili wasonge mbele hatua ya robo fainali.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video