Saturday, March 21, 2015


KOCHA wa Mgambo JKT, Bakari Shime ametamka: "Mimi siogopia Simba wala Yanga, hizi ni timu za kawaida tu. Ndio maana rekodi inaoonesha hawajawahi kutufunga Mkwakwani, hii ni dalili kuwa hazina lolote kwetu".
"Kwa mfano Simba, kilichobaki ni ukubwa wa jina tu, angalia mchezaji kama Said, Ndemla, Jonas Mkude, Ramadhan Singano, hawa wote nilikuwa nakutana nao wakati niko na Coastal Under 20, nilikuwa nawafunga tu, leo watakuwa na lipi jipya. Abdi Banda mwanangu yule, nimemfundisha mimi, nitamuoogapa kwa lipi? Kwanza Mgambo ndio wanauzoefu kuliko wachezaji wa Simba".
"Kuhusu Yanga leo, moto ni uleule uliowachoma Simba 2-0, tumedhamiria kuchukua pointi tatu, wamekujwa kwa mkwara lakini sisi hatutishiki hata kidogo".
Mgambo JKT inaikaribisha Yanga katika mechi kali ya ligi kuu inayopigwa leo majira ya 10:00 jioni uwanja wa CCM Mkwakwani Tanga.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video