Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva akimiliki mpira mbele ya
beki wa Danda SC, Azizi Sibo katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara
uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Timu hizo suluhu.
(Picha na Francis Dande)
Beki wa Ndanda Paul Ngalema (kulia) akichuana na mshmabuliaji wa Yanga, Kpah Sherman.
Simon Msuva akiwatoka wachezaji wa Ndanda.
Mashabiki wa Ndanda.
Waamuzi wa mchezo kati ya Yanga na Ndanda.
Wachezaji wa Yanga wakiwa katika benchi mara baada ya kumalizika kwa mchezo.
Mashabiki wa Ndanda wakishangilia baada ya kumalizika mchezo.
Golikipa wa Ndanda, Wilbert Mweta akiruka juu kuokoa hatari langoni mwake.
0 comments:
Post a Comment