Wakati kocha wa klabu ya Manchester United Luis Van Gaal akipanga kukuimarisha kikosi chake katika majira ya msimu wa joto, klabu hiyo yenye maskani yake katika dimba la old trafford inaongoza katika mbio za kumsajili beki wa kulia wa klabu ya Fc Barcelona na Timu ya taifa ya Brazil Dani Alves.
Alves ambae amekuwa akikosa namba msimu huu katika kikosi cha kwanza cha Barcelona, hana amani tena katika dimba la Camp Nou na sasa huenda akatimkia katika klabu ya mashetani wekundu katika majira ya joto.
0 comments:
Post a Comment