Monday, February 2, 2015



Klabu ya Chelsea imekamirisha usajili wa winga wa klabu ya Fiorentina na timu ya taifa ya colombia Juan Cuadrado, Licha ya kumfukuzia mchezaji huyo kwa muda mrefu chini ya kocha wa Fiorentina Vincenzo Montella.

Chelsea sasa imeinasa saini ya mchezaji huyo aliyekuwa anahusishwa na kujiunga na klabu ya Manchester United pamoja na Fc Barcelona.


Usajili wa Cuadrado umefungua milango kwa kiungo mshambuliaji Raia wa Misri Mohamed Sarah ambae siku zake zinaesabika katika dimba la Stanford Bridge.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video