Na Bertha Lumala, Dar es Salaam
Haijapita hata siku baada ya Azam FC kumwaga dola za Marekani ($) 1.9M (Ush. 5.4 Billion) kununua haki za matangazo ya televisheni ya Ligi Kuu ya Uganda (UPL), SuperSport ambao bado wana mkataba wa kuendelea kuonesha ligi hiyo wameibuka na kusema kuna rafu wamechezewa katika biasahara hiyo.
Katika taarifa rasmi iliyosainiwa na Meneja Mkuu wao, Charles Hamya, SuperSport wamesema FUFA imekiuka masharti na matakwa ya mkataba wao uliokuwa na kipengele chenye makubaliano ya Super Sport kupewa fursa na FUFA ya kuendelea kudhamini ligi.
ISOME TAARIFA IFUATAYO YA SUPERSPORT KUHUSU AZAM TV KUNUNUA LIGI KUU YA UGANDA LEO HAPO CHINI:-
“SuperSport International (SuperSport) notes with grave concern media reports which indicate that broadcast rights to Ugandan club football have purportedly been sold to another broadcaster in violation of its rights. If such reports are true they constitute a material breach of legally binding agreements SuperSport has entered into.
MultiChoice will not tolerate any unilateral breach of legally binding agreements entered into and reserve our rights to exercise any and all remedies at our disposal to ensure that the agreements are enforced and our rights protected.
It would be unfortunate if Ugandan sports in general suffers being it is unable to showcase its abundant talent on the global stage because of the short-sighted mind-set of a few individuals who have failed to appreciate and respect the value of long term broadcast and sponsorship agreements.
SuperSport however remains committed to supporting Ugandan sports and will continue working with likeminded stakeholders to promote its long-term development."
0 comments:
Post a Comment