Tuesday, February 3, 2015


Wakala wa mshambuliaji wa klabu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo, Jorge Mendes amesema mchezaji huyo ana thamani ya pauni milioni 300 ikiwa ataamua kuihama klabu yake ya Real Madrid.


Wakala huyo alisema ikiwa timu yake itataka kumuuza kwa sababu yoyote ile ni lazima timu inayomtaka itoe kiasi hicho cha fedha.

Ronaldo, mwenye wa miaka 29,alichaguliwa kuwa mchezaji bora wa Dunia Mwezi uliopita, alikua akihusishwa kurudi katika klabu yake zamani ya Manchester United.

Mendez kasisitiza kuwa nyota huyo atasalia katika timu ya Real Madrid licha ya kupendwa na mashabiki wa Manchester United.

Wakala huyo aliyewahi kuwa Dj na mmiliki wa Klabu za usiku, ni mwakilishi wa nyota wengine katika soka kama vile Radamel Falcao, Angel Di Maria, James Rodriguez, David De Gea, Victor Valdes na Diego Costa, huku kwa upande wa makocha ni Pamoja na makocha Jose Mourinho na Luiz Felipe Scolari.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video