Thursday, February 26, 2015

TAARIFA zinaeleza kuwa wachezaji watatu wa Yanga, Haruna Niyonzima, Mbuyu Twite na Amissi Tambwe wameachiwa baada ya kuzuiliwa uwanja wa Ndege Mjini Gaborone Botswana kwa kukosa Visa.
Taarifa kutoka Botswana zilieleza kuwa wachezaji hao walizuiliwa kwasababu hawana uraia wa Tanzania na kwa mujibu wa sheria za Botswana walitakiwa kukatiwa Visa.
Hali hiyo iliwafanya wakae uwanjani kwa saa moja na ushee wakisubiri suala lao kutatuliwa.
Viongozi wa Yanga walifanya jitihada za kuwalipia visa na wakafanikiwa.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video