Wednesday, February 18, 2015

Yanga wakifanya mazoezi Mbeya jana

YANGA wana usongo wa kukalia usukani wa ligi kuu Tanzania bara na kuhakikisha wanafanikiwa hilo wanafanya maandalizi makali ya kuwakabili Tanzania Prisons katika mechi ya kiporo itayopigwa kesho alhamisi uwanja wa CCM Sokoine, Mbeya.
Bahati mbaya kwao hata Vinara wa ligi kuu Azam fc watakuwa na mechi ya kiporo Mabatini, Mlandizi, dhidi ya wenyeji Ruvu Shootings itayopigwa kesho jioni.
Mpaka sasa Azam fc wanaongoza katika msimamo wakiwa na pointi 25 sawa na Yanga katika nafasi ya pili, lakini wana Lambalamba wana wastani mzuri wa mabao ya kufunga na kufungwa.
Azam wametikisa nyavu mara 22 na kufungwa mara 12, hivyo wastani wa mabao ya kufunga na kufungwa ni 10.
Yanga wamefunga magoli 15 na kufungwa 7 na wastani wao wa mabao ya kufunga na kufungwa ni 8.

MSIMAMO WA LIGI KUU KABLA YA MECHI ZA KESHO

Standings

RnkTeamMPWDLGFGA+/-Pts
1Azam1374222121025
2Young Africans13742157825
3Kagera Sugar155641211121
4Simba SC144821511420
5Mtibwa Sugar144731514119
6Coastal Union15474109119
7JKT Ruvu155461415-119
8Polisi Morogoro154741213-119
9Ruvu Shooting145451011-119
10Mbeya City14455911-217
11Ndanda154471318-516
12Stand United153661318-515
13Mgambo JKT13427715-814
14Tanzania Prisons131841012-211

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video