MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Senegal na timu ya Newcastel United, Papiss Cisse akipongezwa usiku wa leo baada ya kuifungia timu yake bao pekee katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Aston Villa uwanja wa St James Park, mechi ya ligi kuu England
Cisse akiruka juu kushangilia huku Sammy Ameobi akimpongeza
0 comments:
Post a Comment