MABAO mawili ya Wayne Mark Rooney yametosha kuwapa ushindi mabingwa wa zamani wa England, Manchester United katika mechi ya ligi iliomalizika usiku huu dhidi ya Sunderland uwanja wa Old Trafford.
Rooney alifunga bao la kuongoza kwa makwaju wa penalti dakika ya 66' na akaongeza bao la pili katika dakika ya 84'.
Kwa bahati mbaya, Sunderland walimaliza mchezo wakiwa pungufua kufuatia West Brown kuoneshwa kadi nyekundu dakika ya 64'.

Licha ya ushindi, Man United walicheza mpira mzuri na mpaka dakika 90' zinamalizika walikuwa wanaongoza hali ya umiliki wa mpira kwa asilimia 73 kwa 27 za Sunderland.
Walipiga mashuti 8 yaliyolenga lango dhidi ya 2 ya wapinzani wao.
MATOKEO YA MECHI ZOTE HAYA HAPA;
February 28
FT
FT
FT
FT
FT
FT
0 comments:
Post a Comment