Friday, February 27, 2015

 Baada ya kikao cha ufundi jioni ya leo mjini Khartoum - Sudani, Meneja wa Azam FC ushoto, Katibu Mkuu wa E-Merreikh katikati na Mjumbe wa kamati ya Utendaji ya TFF aliye pia mkuu wa msafara wetu hapa Khartoum, walipozi katika picha ya ukumbusho.
Azam fc kesho usiku watachuana na wenyeji Al Merrick katika mechi ya marudiano ya ligi ya mabingwa Afrika itayopigwa mjini Khartoum, Sudan.
Mechi ya kwanza februari 15 mwaka huu uwanja wa Azam Complex, Azam walishinda 2-0, hivyo wanahitaji sare ya aina yoyote au kutofungwa zaidi ya goli 1-0 ili kusonga mbele.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video