KIKOSI cha Yanga leo asubuhi kimefanya mazoezi mepesi mepesi ya mwisho kuelekea kuikabili BDF XI katika mechi ya ligi ya mabingwa Afrika itayochezwa jioni saa 12:00 kwa saa za Tanzania.
Wachezaji wote wapo salama na wapo tayari kwa mechi ambayo wanahitaji sare ya aina yoyote au kutofungwa zaidi ya goli 1-0 ili kusonga mbele.
0 comments:
Post a Comment