Tuesday, February 24, 2015


FIFA yaamua kupanga kombe la dunia lifanyike mwezi wa 11 na 12 huko Qatar 2022
Na Amplifaya Amplifaya
Viongozi mbalimbali kutoka FIFA wamependekeza kombe la dunia kwa mwaka 2022 kuchezwa mwezi wa kumi na moja na mwezi wa kumi na mbili.
Viongozi hao walikutana Doha kujadili na kupendekeza maoni mbalimbali juu ya finali hizo kwa dhumuni ya kukwepa majira ya msimu wa kiangazi ambayo yatakuwa ni hatari zaidi kwa wachezaji na mashabiki nchini humo.
Hali ya joto katika majira ya kiangazi June na July hufikia takribani nyuzi joto 40 kiasi cha mazingira ambayo sio rahisi kwa wachezaji na mashabiki kumudu.
Taskforce Chief Sheikh Salman Ak-Khalfa alipendekeza pia kombe hilo au finali hizo zitumie siku chache.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video