Thursday, February 5, 2015

KOCHA mkuu wa Ivory Coast , Herve Renard anasema kikosi chake hakikucheza kwa kiwango kizuri licha ya kuibuka  na ushindi wa mabao 3-1 mjini Bata jana usiku.
Tembo walitinga fainali ya Afcon baada ya nahodha Yaya Toure kuwafungia bao la kuongoza katika dakika ya 20, lakini DR Congo wakasawazisha dakika 3 baadaye kwa mkwaju wa penalti uliofungwa na  Dieumerci Mbokani.
Gervinho aliifungia Ivory Coast dakika nne kabla ya mapumziko na  Wilfried Kanon alitia kambani bao la ushindi katika dakika ya 68.
"Sikupenda mchezo huu. Tulicheza kirahisi sana na hatukuwaheshimu wapinzani wetu ambao walitoka nyuma na kuifunga Congo Brazzaville hatua ya robo fainali," Amesema Renard.
"Hatukuonesha malengo ya kutosha-labda mashabiki wachache waliohudhuria hawakutupa shangwe za kutosha"
"DR Congo siku zote ni timu hatari. Walikuwa haraka kufanya mashambulizi ya kushutukiza wakimtumia Mbokani na (Yannick) Bolasie.
"Lakini kitu muhimu ni kwamba tupo fainali na tuna matumaini ya kurudisha kombe Abidjan."

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video