Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Chelsea Raia wa nchini Misri Mohamed Salah amefanikiwa kujiunga kwa mkopo na klabu ya Fiorentina nchini Italia katika kipindi cha dirisha dogo la usajili mwezi January.
Kuondoka kwa Salah pamoja na mjerumani Andre Schurrle ambae amerudi kwao nchini ujerumani katika klabu ya Wolfburg, kumepelekewa na ujio wa winga matata wa timu ya taifa ya Colombia Juan Cuadrado ambaye amejiunga na Chelsea akitokea katika klabu ya Fiorentina.
0 comments:
Post a Comment