Saturday, February 28, 2015

JOSE Mourinho amesema kuwa fainali ya kesho ya kombe la ligi dhidi ya Tottenham itayopigwa Wembley ni fainali muhimu zaidi ya zile zote alizokabiliana nazo katika maisha yake ya kufundisha soka.
"Mchezo unafuata ndio muhimu zaidi katika maisha yangu. Hiyo mingine ipo katika kumbukumbu za klabu. Medali zangu zipo mahali fulani kwangu, sijui hata ziko wapi", Amesema Mourinho alipozungumza na waandisha wa habari jana.
"Naonekana mjinga? fainali ya kombe hili ni muhimu zaidi katika maisha yangu ya soka, muhimu kuliko ligi ya mabingwa. Ni muhimu kuliko makombe yote niliyocheza huko nyuma. Siwazii matokeo. Nawazia mchezo. Tuna fainali ya kushinda jumapili na hakuna kingine zaidi".

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video