Tuesday, February 3, 2015



Aliyekuwa kiungo mkabaji wa klabu ya Manchester United Darren Fletcher ameibuka na kusema kwamba kocha wa klabu hiyo Luis Van Gaal hakuwa na mpango wa kumwachia licha ya kujiunga na klabu ya Westbromich Albion kwa mkataba wa miaka miwili na nusu katika kipindi hiki cha dirisha dogo la usajili.


Kiungo huyo Raia wa Scotland mwenye umri wa miaka 31 amekuwa akikosa namba mara kwa mara katika kikosi cha kwanza cha Manchester United baada ya kukaa nje kwa muda mrefu akiuguza majeraha, kisha baadae akarejea uwanjani na kuonyesha kiwango duni kitendo kilichopelekea kucheza mechi kumi na sita pekee tangu msimu kuanza.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video