Vinara wa Ligi kuu nchini Uingereza Chelsea wanafikilia
kumsajili mshambuliaji wa klabu ya Malaga Fabrice Oliga mwenye umri wa miaka 18.
Mshambuliaji wa zamani
wa klabu ya Chelsea Samuel Eto’o akitamani mshambuliaji huyo kujiunga na klabu
yake ya sasa Sampdoria ya Nchini Italia.
0 comments:
Post a Comment