
Jana wakati PSG wakijiandaa kumenyama na Chelsea uwanja wa Parc des Princes, kiatu cha mshambuliaji wa PSG, Zlatan Ibrahimovic kilionekana kimeandikwa '804 milions names' ikiwa ni ishara ya kuunga mkono mpango wa chakula duniani.
Maneno hayo yana maanisha 'majina milioni 805. Cheki picha chini.
0 comments:
Post a Comment