
Winga wa Tottenham, Andros Townsend akipozi katika picha na mpenzi wake Hazel O'Sullivan mjini Dubai
ANDROS Townsend ametumia fursa ya Tottenham kutolewa raundi ya tano ya kombe la FA na kusafiri kwenda Dubai na 'demu' wake Hazel O'Sullivan.

Demu wake mwenye miaka 23 ali-posti picha yake akiwa na winga huyo wa Tottehnam na kuandika maneno yaliyotafsiriwa: "Nikiwa chakula cha usiku na mpenzi wangu usiku wa mwisho mjini Dubai".
Townsend aliruhusiwa kwenda Dubai na 'kimwana' wake mwishoni mwa wiki iliyopita kutokana na Tottenham kutupwa nje kombe la FA januari 24 mwaka huu.

0 comments:
Post a Comment