Shauri dhidi ya mchezaji George Michael wa Ruvu Shooting kwa kumchezea ubabe Amisi Tambwe wa Yanga, Kamati imeliahirisha baada ya mlalamikiwa kupata udhuru uliosababisha asiwepo.
Pia Kamati ya Nidhamu imeelekeza malalamiko ya timu ya Friends Rangers kupinga refa kuchezesha mechi yao dhidi ya Majimaji kwenye mvua kubwa,
kutoa maamuzi yasiyo halali na kutokuwepo na ukweli kwenye ripoti ya
Kamishna yakasikilizwe na Bodi ya Ligi kwa vile si masuala ya kinidhamu.
*IMETOLEWA NA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF)*
0 comments:
Post a Comment