LUIS Suarez ameendeleza cheche zake za kufumania nyavu baada ya kufunga goli katika ushindi wa 3-1 waliopata Barcelona usiku huu dhidi...

LUIS Suarez ameendeleza cheche zake za kufumania nyavu baada ya kufunga goli katika ushindi wa 3-1 waliopata Barcelona usiku huu dhidi...
MABINGWA watetezi wa ligi kuu soka Tanzania bara na wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya ligi ya mabingwa Afrika, Azam fc wametupw...
FAINALI ya Kombe la Capital One inataraji kupigwa kesho siku ya Jumapili katika dimba la Wembley ambapo itazikutanisha timu mbili kuto...
Kocha wa klabu ya Real Madrid Carlo Ancelotti amesema kuwa anatamani kuwa kocha wa timu ya taifa ya italia na kuiwezesha timu hiyo kuchuk...
Ibrahim Hajibu Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam, Simba SC wametuma salamu kwa mahasimu wao Yanga SC baada ya ushindi ‘ mkubwa’ ...
Samatta (kushoto) alikwenda kufanya majaribo CSK Moscow Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam, Mshambulizi wa kimataifa wa Tanzania...
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Senegal na timu ya Newcastel United, Papiss Cisse akipongezwa usiku wa leo baada ya kuifungia timu yake bao...
MABAO mawili ya Wayne Mark Rooney yametosha kuwapa ushindi mabingwa wa zamani wa England, Manchester United katika mechi ya ligi iliomali...
MABINGWA mara 24 wa ligi kuu Tanzania bara, Dar Young Africans watachuana na Platinum ya Zimbabwe raundi ya kwanza ya kombe la shirikisho...
Uongozi wa klabu ya Simba pamoja na wanachama, kesho jumapili Machi 1, wanatarajia kukutana katika mkutano wa klabu unaotambuliwa na kati...
MABINGWA watetezi wa ligi kuu soka Zanzibar, KMKM wametupwa nje ya michuano ya ligi ya mabingwa Afrika baada ya kushinda goli 1-0 dhidi y...
Na Frank .M. Mgunga LIGI kuu soka Tanzania bara imeendelea kurindima katika viwanja mbalimbali nchini, huku katika uwanja wa taifa ...
Reina Mgungilia (kushoto) akichuana na Shaaban Kisiga mwaka jana timu hizo zikitoka sare ya 1-1 uwanja wa Taifa KIUNGO wa ulinzi wa A...
JOSE Mourinho amesema kuwa fainali ya kesho ya kombe la ligi dhidi ya Tottenham itayopigwa Wembley ni fainali muhimu zaidi ya zile zote a...
MANCHESTER United inachuana na Sunderland katika mechi ya ligi kuu England inayopigwa uwanja wa Old Trafford jioni ya leo. Cha kushanga...
KUNDI LA Yanga katika mtandao wa kijamii wa facebook Yanga facebook Familiy limetoa pongeza kwa timu yao hususani kocha mkuu, Hans van ...
WAWAKILISHI wengine wa Tanzania ligi ya mabingwa Afrika, KMKM ya Zanzibar wanashuka dimbani kuchuana na Al Hilal ya Sudan katika mechi ya...
CHELSEA wanakabiliana na Tottenham katika mechi ya fainali ya kombe la ligi 'Capital One Cup' kesho usiku uwanja wa Wembley, mji...
LIGI kuu England inaendelea leo kwa mechi 6 kupingwa viwanja mbalimbali. Manchester United chini ya kocha Mholanzi, Louis van Gaal wana...
WEKUNDU wa Msimbazi Simba wanaikaribisha Tanzania Prisons katika mechi ya ligi kuu soka Tanzania bara inayopigwa uwanja wa Taifa, Dar es ...
Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Azam fc. Kila la kheri wana 'Lambalamba'. MABINGWA watetezi wa Tanzania, Azam fc usiku ...
YANGA SC wamefanikiwa kufuzu raundi inayofuata ya kombe la Shirikisho baada ya kuitoa BDF XI ya Botswana kwa wastani wa mabao 3-2. Wa...