Friday, January 23, 2015


Martin Odegaard holds his shirt after being unveiled as a  Real Madrid player
Martin Odegaard akipozi katika picha na jezi yake wakati alipotambulishwa  Real Madrid

NYOTA kinda wa Real Madrid mwenye umri wa miaka 16
aliyesajiliwa kwa paundi milioni 2.3,  Martin Odegaard amethitibisha kuwa hamu ya kufanya kazi na Zinedine Zidane ndio imemfanya azipotezee timu za ligi kuu England na kujiunga na mabingwa hao wa Ulaya.
Kinda huyo wa Norwegian ambaye alitambulishwa katika uwanja wa klabu ya Real Madrid, atakuwa anapokea mshahara  wa paundi elfu 40,000 kwa wiki katika msimu wake wa kwanza, lakini utaongezeka kutokana na Bonasi.
Amechagua Real Madrid licha ya kuzitembelea klabu za Liverpool na Arsenal wakati alipokuwa katika ziara ya kuziona timu kubwa barani ulaya.
Odegaard poses with Sergio Ramos (left) and Cristiano Ronaldo after signing on Thursday
Odegaard akipozi na wakali wa Real,  Sergio Ramos (kushoto) na Cristiano Ronaldo baada ya kusaini jana alihamisi
Real director Emilio Butragueno looked happy to welcome Odegaard to the Spanish capital
Mkuregenzi wa Real,  Emilio Butragueno alionekana kuwa na furaha kumkaribisha Odegaard mji mkuu wa Hispania
Odegaard grins after hearing a question during the press conference on Thursday

MARTIN ODEGAARD FACTFILE 

Age: 16 (D.O.B. 17/12/98)
Born: Drammen, Norway
Position: Attacking midfielder
Clubs: Stromsgodset (2014-15), Real Madrid (2015-
Appearances: 24
Goals: 5
International appearances: 3
International goals: 0 

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video