Thursday, January 15, 2015

MAAFANDE wa Ruvu Shooting wametamba kuifunga Yanga katika mechi ya ligi kuu Tanzania bara itakayochezwa jumamosi uwanja wa Taifa Dar es salaam  na kufuta kipigo cha aibu cha mabao 7-0 walichopata msimu uliopita.

Afisa bahari wa klabu hiyo, Masau Bwire amesema Yanga walitamba kutwaa kombe la Mapinduzi, lakini walifungwa na timu ya JKU bao 1-0 na kutupwa nje hatua ya robo fainali.

‘Tunataka kuwaonesha Watanzania kuwa sisi sio timu dhaifu, wanaitwa wazee wa wiki, tunataka kufuta aibu hiyo”


“Walitamba wanakwenda kuchukua kombe la Mapinduzi, wamefungwa na kitimu kidogo cha JKU. Kwetu safari hii watatukoma”. Alisema Masau.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video