SIKU Mbeya City inaifunga Simba mabao 2-1, hakika kasi ya Wagonga nyundo hao dakika 20' za mwisho ilikuwa mithiri ya moto uliowashwa nyikani majira ya kiangazi.
Mabeki wa Simba, hususani Juuko Mursheed na Hassan Isihaka walihangaika mno.
Cheki Isihaka alivyovuta jezi ya mchezaji wa mbeya City. Jee moto huu utaendelea leo Morogoro?
0 comments:
Post a Comment