KAGERA Sugar wenye machungu ya kupoteza mechi
iliyopita kwa bao 1-0 dhidi ya Mbeya City fc, kwa mara nyingine wanatupa karata
yao leo jioni mbele ya Azam fc kusaka pointi tatu muhimu.
Mechi hiyo kali ya kiporo ya ligi kuu Tanzania
bara itapigwa katika uwanja wa CCM
Kirumba jijini Mwanza.
Kwa upande wa Azam fc wanaingia kwenye mchezo wa
leo wakijiamini kutokana na ushindi wa bao 1-0 waliopata dhidi ya Stand United
mwishoni mwa wiki iliyopita uwanja wa CCM Kambarage Shinyinga.
0 comments:
Post a Comment