Tuesday, January 6, 2015


Louis van Gaal admits he may not always use Manchester United captain Wayne Rooney in his team selection
Wayne Rooney 

LOUIS van Gaal amekiri kuwa hatamtumia kwa wakati wote mshambuliaji wa Manchester United, Wayne Mark Rooney.
Kupangwa kwa nyota huyo kutatengemea na balansi ya timu na kiwango cha mshambuliaji wakati huu Van Gaal akijenga kikosi cha wachezaji vijana.
Nyota huyo mwenye miaka 29 amekuwa akicheza sehemu ya kiungo tangu Van Gaal awasili na kocha huyo wa United alizungumza kuwa anapenda kuwatumia wachezaji wanaomudu nafasi nyingi kama Rooney.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video